March 4 2016 moja ya tukio lililokusanya umati wa watu ni hii ya ghara la kuhifadhia rangi kwenye kiwanda cha Sadoline kilichopo maeneo ya tazara Dar es salaam, baada ya kuungua moto ambao bado haujafahamika mpaka sasa nini chanzo chake. Kwa mujibu wa mkaguzi msaidizi wa jeshi la zima moto wilaya ya Kinondoni adam hamisi ngao amesema moto huo ulianza kuwaka muda wa saa moja za usiku .
Hadi kamera ya Ayo Tv inaondoka eneo la tukio, taarifa zilionyesha hakuna mtu aliyepoteza maisha katika tukio hilo la ajali..
Burning of the paint industry in dar es salaam this night / Video ya Kiwanda cha rangi kilivyoteketea kwa moto Dar usiku huu
Reviewed by Emmanuel
on
07:03
Rating: 5
0 comments:
Post a Comment