Valencia walianza kufunga goli dakika ya 26 kupitia kwa mchezaji wa FC Barcelona Ivan Rakitic kujifunga, goli ambalo liliwafanya FC Barcelona kuhangaika kusawazisha ilaValencia wakafunga goli la pili dakika ya 45 kupitia kwa Santi Mina ila Lionel Messidakika ya 63 aliipatia FC Barcelona goli la kufutia machozi.
Kwa matokeo hayo FC Barcelona ambao awali walikuwa wameziacha timu za Atletico Madrid na Real Madrid kwa point zaidi ya 5, wametoa nafasi ya kuwania Ubingwa kwa timu hizo kwani FC Barcelona anaongoza Ligi kwa tofauti ya magoli akiwa na point 76 sawa na Atletico, huku Real Madrid wakiwa na point 75.
Video ya magoli ya FC Barcelona vs Valencia, Full Time 1-2
0 comments:
Post a Comment